'''' '' 'Tout changement commence par le changement des acteurs du changement'', dixit le Président Evariste Ndayishimiye . .

BURUNDIAN DAILY NEWS

Breaking

Wednesday, December 21, 2022

Burundi-Tanzania : Habari njema

      

Akizungumuza kuhusu  ujenzi wa reli Uvinza- Gitega, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan alitowa habari za faraja kwa wa rundi  na wa tanzania wote.

'' Nataka niwape habari za faraja, kwamba kuna mtu tayari ameshajitokeza. Anataka kujenga(kipande cha reli Uvinza-Gitega) atatumia pesa yake sio mkopo halafu tutakatana kwenye kusafirisha mali yake atapokuwa anasafirisha'' . 

      

No comments: